Utabaki kuwa ni wimbo tu
Hata mm naupenda sana nmewahi kucheza show yake juz kati kwenye weding mm pananinoga hapo pa "umeomba miaka mingi,umetafuta kila mahali..leo umepata wako.ambae ni chaguo lako..huyo ni chaguo lake"
Maneno ya wimbo huu ni mazito mkuu...naamini wahusika hua yanawaingia hadi moyoni ndani kabisaaaaaaaaa
Peleka jukwaa la entertainment
Utabaki kuwa ni wimbo tu
na kweli