HakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiTukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama profesa lipumba watu huhamaki na hata kutukana, lakini kubwa tujiulize ni nani asiyejua kuwa lipumba ndiye mkombozi wa siasa za mageuzi nchini, mara baada ya wazanzira kuuliwa na mkapa kupiga marufuku maandamano aliwza kuongoza watanzani kudai haki yao ya msingi kwa mujibu wa katiba na hata kupigwa na kuumizwa mkono hata haya naya nayo bado tu tunamuona hafai?
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Tukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama profesa lipumba watu huhamaki na hata kutukana, lakini kubwa tujiulize ni nani asiyejua kuwa lipumba ndiye mkombozi wa siasa za mageuzi nchini, mara baada ya wazanzira kuuliwa na mkapa kupiga marufuku maandamano aliwza kuongoza watanzani kudai haki yao ya msingi kwa mujibu wa katiba na hata kupigwa na kuumizwa mkono hata haya naya nayo bado tu tunamuona hafai?
LIPUMBA NI MWANA SIASA MZURI NA ANA UWEZO NA MIPANGO MIZURI LAKINI CHAMA ALICHOKO KINA SERA TOFAUTI NA ZAKE NA AMEWEKWA TU KAMA SHATI HANA MAMLAKA YEYOTE.dhamira kuu ya CUF ni kutawala znz na kuweza kuifanya znz nchi kamili maana yake kuitoa kwenye muungano ili watimize wanayojua wao kama ndio kuifanya islamic state au kujiunga umoja wa nchi za kiarabu au kurudisha ikulu pemba sijui wanajua wao.LAKINI UKWELI ULIO WAZI HATA VIONGOZI WENYEWE WA CUF wanasema CUF NI ZNZ na wale wa nazi zaidi huwa wanasema cuf n pemba,HATA KULE IGUNGA WALIENDA TU KWA KULANZIMISHWA NA LIPAMBA MAANA KATOKA MKOA HUO NA WALIKUWA WAPILI UCHAGUZI 2010.na walikuwa hawana haja na arumeru sio tu hawana hela ila hata huo muda wa kuongea na wakristo hawana maana chama chao kampeni hufanyika mpaka misikitini,maamuzi ya mashehe ndio ya cuf.kama huamini muulizi mtu yeyote umjuaye anayeishi znz umuulize wanaoitisha mikutano ya hadhara katiba na muungano ni akina nani na hufanyika wapi kama sio viwanja vya miskiti na mashehe ndio huutubiaTukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama profesa lipumba watu huhamaki na hata kutukana, lakini kubwa tujiulize ni nani asiyejua kuwa lipumba ndiye mkombozi wa siasa za mageuzi nchini, mara baada ya wazanzira kuuliwa na mkapa kupiga marufuku maandamano aliwza kuongoza watanzani kudai haki yao ya msingi kwa mujibu wa katiba na hata kupigwa na kuumizwa mkono hata haya naya nayo bado tu tunamuona hafai?
Tukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama profesa lipumba watu huhamaki na hata kutukana, lakini kubwa tujiulize ni nani asiyejua kuwa lipumba ndiye mkombozi wa siasa za mageuzi nchini, mara baada ya wazanzira kuuliwa na mkapa kupiga marufuku maandamano aliwza kuongoza watanzani kudai haki yao ya msingi kwa mujibu wa katiba na hata kupigwa na kuumizwa mkono hata haya naya nayo bado tu tunamuona hafai?
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
LIPUMBA NI MWANA SIASA MZURI NA ANA UWEZO NA MIPANGO MIZURI LAKINI CHAMA ALICHOKO KINA SERA TOFAUTI NA ZAKE NA AMEWEKWA TU KAMA SHATI HANA MAMLAKA YEYOTE.dhamira kuu ya CUF ni kutawala znz na kuweza kuifanya znz nchi kamili maana yake kuitoa kwenye muungano ili watimize wanayojua wao kama ndio kuifanya islamic state au kujiunga umoja wa nchi za kiarabu au kurudisha ikulu pemba sijui wanajua wao.LAKINI UKWELI ULIO WAZI HATA VIONGOZI WENYEWE WA CUF wanasema CUF NI ZNZ na wale wa nazi zaidi huwa wanasema cuf n pemba,HATA KULE IGUNGA WALIENDA TU KWA KULANZIMISHWA NA LIPAMBA MAANA KATOKA MKOA HUO NA WALIKUWA WAPILI UCHAGUZI 2010.na walikuwa hawana haja na arumeru sio tu hawana hela ila hata huo muda wa kuongea na wakristo hawana maana chama chao kampeni hufanyika mpaka misikitini,maamuzi ya mashehe ndio ya cuf.kama huamini muulizi mtu yeyote umjuaye anayeishi znz umuulize wanaoitisha mikutano ya hadhara katiba na muungano ni akina nani na hufanyika wapi kama sio viwanja vya miskiti na mashehe ndio huutubia
kwa hiyo cuf ilikosa wafuasi baada ya kuunda GNU? Kweli? mbona tunaambiwa maalim alimshinda Shein 2010. anyway sijui analysis yako ya wasomi na cuf umeipataje...unless you proof it has fail to win influence among intellectuals,nta buy idea yakoMleta hoja thibitisha kuwa kweli wewe ni great thinker, don't abuse the forum.
Lipumba hadharauriki kabisa, uwezo wake umefikia pale alipoishia. Hajafanikiwa haswa kuwashawishi watu, hasa wasomi wa kada tofauti, kwamba kweli cuf ni chama makini chenye malengo ya kuiondoa ccm madarakani. Cuf imefunga ndoa ya mkeka na ccm chini ya uongozi wake. Prof ni kiongozi lakini ni mwoga kwa baadhi ya watu ndani ya cuf, hasa wale waanzilishi wa chama na bado wako madarakani. Mengine ntakueleza baadae ngoja wachangie wengine kwanza.