BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,937
Naam, wakati wanaccm wandakindaki wakihatadharisha mchezo Wa Kikwete na familia yake kumkata Edward lowassa, hawakuelewa athari yake hata hivo Kikwete alijua kuwa Lowassa ni dubwana kubwa lakini aliamua kudharau kwa maksudi. Pia nakumbuka wachambuzi mashuhuri walitoa maoni yao kuhusu hayo na mara baada ya mchakato Wa ccm walitweet ahsante jk kwa kuwapa upinzani nchi. Kwa waswahili (wakwere) wengi fitina za familia ni kubwa kushinda maslahi yeyote yale nahisi alidharau ushauri Wa usalama akaweka wa ridh na mama k.
Daah hii pass ya kisigino ya UKAWA ni hatari, wakati ccm wakitegemea hii week itakuwa yao kwenye media na midomo ya watanzani hasa kwa kuwa wanafungua campaign zao lakini mambo tofauti aisee kwani kuanzia leo na kesho habari kubwa ni uingiaji Wa Sumaye ukawa(heading za ksho na makala zote ni kuhusu sumaye na ukawa). Kwa hiyo psychology na morali ya wanaccm hasa makada imeshuka sababu walitegemea watakusanya nguvu zao zote hasa muda huu ambao jeshi la polisi kuzuiwa maandamano ya kurudisha form za uraisi, ubunge na udiwani kwani waliona hili linawapa nguvu ukawa kwa hyo wakajua wamewadhibiti hawatakuwa na publicity tena. Lakini hawa kujua kuwa wanadeal na mtu ambae ana mikakati ya kutosha iliomsaidia hata kumueka madarakani raisi. Sasa kuanzia kesho hamasa ya wanaccm imepungua kwa kiasi kikubwa kwani sumaye ni mtu mkubwa sana na wameshangaa imekuaje? Instead ktk mkutano wao wataimba na kukimbilia personal attacks dhidi ya sumaye na lowassa badala ya Sera na hapo ndipo washavurugwa kbisa.
Huruma yangu kwa Magufuli na suluhu kwani wanacheza ngoma sio size yao kwani ngoma hii jakaya mwenywwe inamhenyesha lkn kwa tahayuri aliokuwa nalo hana jinsi zaidi ya kuogopa lawama chama kisimfie mikononi kwani anajua fika kuwa lowassa is ahead them 1000m kwa kila step wanayoitumia.