Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Ahahhaa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee, dogo naona ana 'displace air of his own weight'
Hao watoto wanaofanyiwa hivi baadae ndio wanakua JIWE. Hawakubembelezwa ki lelemama. Mama akitoka mtoto haachwi na housegirl.
Anafungiwa kamba kwenye mti, nyoka akija anapambana nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao watoto wanaofanyiwa hivi baadae ndio wanakua JIWE. Hawakubembelezwa ki lelemama. Mama akitoka mtoto haachwi na housegirl.
Anafungiwa kamba kwenye mti, nyoka akija anapambana nae.
Piga bonge la kofi mpaka azimieWadau.
Ni Jirani Yako.
Ni rafiki Yako.
Ila leo kaamua Kucheza na Mwanao kwa style hiyo!
Mpe neno moja