Huyo Hitler nae alikuwa myahudi, na kile kilichoitwa Jews persecution ni propaganda tu,

BLACK_WIDOW

Senior Member
Nov 17, 2018
133
318
Huyo Hitler nae alikuwa myahudi, na kile kilichoitwa Jews persecution ni propaganda tu,

jamaa alitumwa kufanya kazi maalum ili kustawisha uyahudi ulaya.

Kwenye Vita ya pili ya dunia wazungu (non Jewish ) wengi walikufa, ili wayahudi wainuke watawale ulaya vizuri.

Walichofanya wayahudi ni kushusha population ya wazungu wale pure, ili wao wa-rise kwenye siasa na biashara.

Na wamefaulu kwa hilo, hawa jamaa ni masterminds sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmhhhh uongo mtakatifu mm katika pilika zangu za maisha nakutana nao huwa nawauliza mambo mengi kuhusiana na imani na hitla niliwah kuuliza jibu n kwelii waliuwawa (jews).
Iyo yako tupe chanzo cha izo habari
 
Wabongo tujitahid kuyafanyia utafit mambo ili tujue na side B, sio kila tunaloambiwa ni right, historia nyingi duniani imechezewa,

Kuna source nyingi sana zinaelezea ukweli uliofichwa kuhusu hii ishu ya Hitler na Jewish persecution,

Just go and find them, tu
Screenshot_20190406-084841.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Hitler nae alikuwa myahudi, na kile kilichoitwa Jews persecution ni propaganda tu,
jamaa alitumwa kufanya kazi maalum ili kustawisha uyahudi ulaya.
Kwenye Vita ya pili ya dunia wazungu (non Jewish ) wengi walikufa, ili wayahudi wainuke watawale ulaya vizuri.
Walichofanya wayahudi ni kushusha population ya wazungu wale pure, ili wao wa-rise kwenye siasa na biashara.
Na wamefaulu kwa hilo, hawa jamaa ni masterminds sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Some stories ili kuufunika uhalifu?Ushahidi je?
 
Wabongo tujitahid kuyafanyia utafit mambo ili tujue na side B, sio kila tunaloambiwa ni right, historia nyingi duniani imechezewa,
Kuna source nyingi sana zinaelezea ukweli uliofichwa kuhusu hii ishu ya Hitler na Jewish persecution,
Just go and find them, tuView attachment 1063828
Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa wewe pia hujaonyesha source ya habari yako ili kuthibitisha utafiti ulioufanya.
Wayahudi waliuawa sana wakati huo hicho ndio tunachokijua so kama unataka tujue otherwise lazima ulete ushahidi.
Kuna siku tutaambiwa vita vya majimaji havikutokea bali ni uzushi tu ili kuonyesha waafrika walipinga ukoloni !
 
Alaf kichwa cha habari ni kikubwa Sana kuliko habari. Kaa tulia uandike kitu Cha maana kieleweke,alaf andika kiingereza,la sivyo hata wewe unaonekana hujui kitu kuhusu hiki kitu,umesimuliwa tu akakurupuka kuleta tumistari hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom