Teh teh labda umchonge mtu wako mwenyewe lakini si kwa hawa wa dunia hii.Vipi na kwa wale wasio na Pesa unadhani hawataweza kupata Mapenzi?
Hii haitoshi ku-generalize mambo still wapo kina Mama wanaojiheshimu na wanao shika ahadi ile ya ndoa inayosema kwenye shida na raha mpaka kifo kitutenganishe.Teh teh labda umchonge mtu wako mwenyewe lakini si kwa hawa wa dunia hii.
Kuna mtu leo hii anaumilia maumivu alikuwa ana pesa akaoa mke na watoto 2 juu, pesa zimekata yule mama amekuwa kama jamvi la wageni anagawa uroda kama hana akili nzuri na jamaa amesema wamegombana lakini wapi maana jamaa mambo imekuwa mbaya hadi msosi ni mama anategemewa alishe familia.
Mkuu ni 1 kwa 100 hao unaowasema hapo, kina mama walio wengi wako kimaslahi sana siku hizi ukimuuliza Mke wangu unaahidi kunipenda milele? Anajibu ndiyo mume wangu nitakupenda milele kama pesa zako hazitakuja kuisha, Teh tehHii haitoshi ku-generalize mambo still wapo kina Mama wanaojiheshimu na wanao shika ahadi ile ya ndoa inayosema kwenye shida na raha mpaka kifo kitutenganishe.
Dunia sasa hivi inasumbuliwa na mambo mawili tu PESA na MAPENZI mengine yote mbwembwe tu.
Mkuu ni 1 kwa 100 hao unaowasema hapo, kina mama walio wengi wako kimaslahi sana siku hizi ukimuuliza Mke wangu unaahidi kunipenda milele? Anajibu ndiyo mume wangu nitakupenda milele kama pesa zako hazitakuja kuisha, Teh teh
Sahihi kabisa mkuu.Tunafanya jitihada ktk dunia hii kujenga majumba na kununua magari ya kifahari na kuoa mke mzuri ila mwisho wa siku unaachia vyote wengine ambao hawajakusaidia hapo ulipofika na mbaya zaidi wanavitapataza Kwa matumizi ya ovyo ovyo sbb sio jasho lao!mkeo atalala ktk kitanda chako na mme mwingine wewe hapo umelala mwenywe gizani umesahaulika kabisa.kweli ukifkiriya haya utaona hakuna maana ya kutafta pesa sbb haitakusaidia in long run.usipotafuta pesa ukawa nayo utateseka duniani na pia kaburini.ila ukiwa na pesa utapata raha ya dunia ikiwa utatoa sadaka nakusaidia wenye matatizo hii sadaka itakulinda na maradhi na mabalaa.fikiria una pesa huku unaugua kisukari vyakula vizur vyote we huli utakula chapati haina mafuta mara ule mchicha umechemshwa tu yaani unakula kwa masharti.kuna ndugu yng ni tajiri ila anaishiiaga kuniambia watu wakiniona naendesha magari ya kifahari wanatamania wawe mimi ila wangejua?!hivyo hakuna jambo zuri kama kuwa na uwezo kisha ukasaidia penye matatizo na kutokuwa mchoyo na ubinafsi hiyo itakusaidia hapa duniani na mwisho wako utakuwa mwema.
Huyo mama ni malaya kama malaya wengine alificha tabia yake kwa sababu ya bakaaTeh teh labda umchonge mtu wako mwenyewe lakini si kwa hawa wa dunia hii.
Kuna mtu leo hii anaumilia maumivu alikuwa ana pesa akaoa mke na watoto 2 juu, pesa zimekata yule mama amekuwa kama jamvi la wageni anagawa uroda kama hana akili nzuri na jamaa amesema wamegombana lakini wapi maana jamaa mambo imekuwa mbaya hadi msosi ni mama anategemewa alishe familia.
Umesema vema sana mkuu Na ndiyo maana nikasema kila mtu atapata kitu cha kum-keep busy hadi kifo kitamkuta akiwa hapo busy na bado hajamaliza huo u-busy wake...Ni vizuri kuwekeza katika ulimwengu ule tunaoutarajia...Tunafanya jitihada ktk dunia hii kujenga majumba na kununua magari ya kifahari na kuoa mke mzuri ila mwisho wa siku unaachia vyote wengine ambao hawajakusaidia hapo ulipofika na mbaya zaidi wanavitapataza Kwa matumizi ya ovyo ovyo sbb sio jasho lao!mkeo atalala ktk kitanda chako na mme mwingine wewe hapo umelala mwenywe gizani umesahaulika kabisa.kweli ukifkiriya haya utaona hakuna maana ya kutafta pesa sbb haitakusaidia in long run.usipotafuta pesa ukawa nayo utateseka duniani na pia kaburini.ila ukiwa na pesa utapata raha ya dunia ikiwa utatoa sadaka nakusaidia wenye matatizo hii sadaka itakulinda na maradhi na mabalaa.fikiria una pesa huku unaugua kisukari vyakula vizur vyote we huli utakula chapati haina mafuta mara ule mchicha umechemshwa tu yaani unakula kwa masharti.kuna ndugu yng ni tajiri ila anaishiiaga kuniambia watu wakiniona naendesha magari ya kifahari wanatamania wawe mimi ila wangejua?!hivyo hakuna jambo zuri kama kuwa na uwezo kisha ukasaidia penye matatizo na kutokuwa mchoyo na ubinafsi hiyo itakusaidia hapa duniani na mwisho wako utakuwa mwema.
Binadam ameumbwa kuwa msahaulifu sn fikiria maumivu tunayoyapata ya kufiwa au kudhulumiwa kwa namna yyte ila mwisho utasahau maumivu ya moyo yatapoa pumzi itashuka.je tusingekuwa tunasahau maumivu yaliyotokea tusingeishi mda mrefuUmesema vema sana mkuu Na ndiyo maana nikasema kila mtu atapata kitu cha kum-keep busy hadi kifo kitamkuta akiwa hapo busy na bado hajamaliza huo u-busy wake...Ni vizuri kuwekeza katika ulimwengu ule tunaoutarajia...