Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

Texas Tom.

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
510
Reaction score
273
Haya ni jana tuu, nimekuta mshakaji anapunguza mawazo kwa kilimanjaro kama ya tisa hivi, mwanamke kamwambia mumewe wasiongozane sababu hajui kuvaa, aliponiuliza afanye nini sijapata jibu hadi sasa.

Msaidieni
 
He he he, anamwona kibudu. Ni shida sana kuolewa na mtu unayeona aibu kuongozana naye barabarani.
 
Wengine tunakwepa kuongozana na wake zetu ili zali likitokea njiani tusipate kizuizi, wengine wanasikitika kuipata hiyo bahati. kweli wanaume tumetofautiana.
 
Mume -----, achukue ukurya siku moja aone mbingi hiyo inavonyoka.... Kwanza walifikaje hadi kuoana, au walikua wanakutana ndani tu muda wote wakati wa uchumba...
 
mwanamke kamwambia mumewe......NATAKA KUJUA WANA MIAKA MINGAPI KTK NDOA.
 
haya ni jana tuu..nimekuta mshakaji anapunguza mawazo kwa kilimanjaro kama ya tisa hivi, mwanamke kamwambia mumewe wasiongozane sababu hajui kuvaa, aliponiuliza afanye nini sijapata jibu hadi sasa ,,,MSAIDIENI!!
Sasa kama hajui kuvaa yeye si amfundishe manake yeye ni mwana mitindo.wanawake wengine sijui wakoje kwani kama mumeo unamuona hajui kuvaa wewe ukiwa kama mke ameshindwa nini kumuelewesha kua mume wangu napenda ukivaa hivi au watu sikuizi wanavaa hivi,vivaya kukurupuka kumwambia mwenzio kitu kitakacho mkita moyo wake,jee yeye akikwakbia mke wangu na wewe nilikua nakuvumilia tuu lakini kwenye sita kwa sito wewe ni zero...atajisikiaje?
 
Wengine tunakwepa kuongozana na wake zetu ili zali likitokea njiani tusipate kizuizi, wengine wanasikitika kuipata hiyo bahati. kweli wanaume tumetofautiana.

Haaaa twin acha hizo...mchukue mama.
 
eh!mkubwa sasa ye naye kiazi kweli ka hajui kuvaa si amvalishe?kwanza jukumu lake kumvesha mumewe babu eh!mwambie best ako aje kwangu nimpendezeshe asimuumize kichwa kha.
 
wala asijipe presha huyu bi mkubwa ajielewi kabisa,.... mwambie asiongozane nae tu ili apate nafasi ya kutongoza jinga sana huyo mama
 
simply itakua hampendi kwa sababu moja ya vigezo mwanaume ukimpenda mwanamke you go with her everywhere na hua unahisi everybody feels the same way kumuona mke wako as you do
 
eh!mkubwa sasa ye naye kiazi kweli ka hajui kuvaa si amvalishe?kwanza jukumu lake kumvesha mumewe babu eh!mwambie best ako aje kwangu nimpendezeshe asimuumize kichwa kha.

Na mimi sijui kuvaa. Nikukute wapi?
 
Haya ni jana tuu, nimekuta mshakaji anapunguza mawazo kwa kilimanjaro kama ya tisa hivi, mwanamke kamwambia mumewe wasiongozane sababu hajui kuvaa, aliponiuliza afanye nini sijapata jibu hadi sasa.

Msaidieni
Kwani kuvaa huko ndio kuko vipi ?
kuvaa jeans na t-shirt au kuchomekea modal ?
 
Back
Top Bottom