Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,887
- 1,866
Kwa kuwa umeileta huku siasani ngoja tuijadili kisiasa siasa..
Hivi hapa Dar Es Salaam ni jimbo gani lina matatizo ya maji sana.??
Na Mbunge wake ni nani..??
We umekuja Dar lini? kwa mwenyeji wa Dar hawezi kushangaa ni kwaida,fanya kilichokuleta urudi kwenu.
inasemekana wajinga wengi wa nchi hii wamejazana DAR ES SALAAM , Hata kitoweo chao kikuu ni UTUMBO WA KUKU , VICHWA NA MIGUU YA KUKU !
inasemekana wajinga wengi wa nchi hii wamejazana DAR ES SALAAM , Hata kitoweo chao kikuu ni UTUMBO WA KUKU , VICHWA NA MIGUU YA KUKU !