Huwajui waluguru ndio maana

Sasa kubushana na mwalimu JK ndo sio ubishi huo? Au kisa alikuwa baba wa Taifa?? Na ni obvious walikuwa wanabusha tu kama utamaduni wao ulivyo na sio upinzani wa kisomi. Waluguru wafupi wabishi sana. Yaani wao kila kiti lazma wapinge. Yaani mtu anataka kuwandoa wakoloni ili mbali huru bado pia mnambishia. Kwa kwa kwaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…