Huwajui waluguru ndio maana

Huwajui waluguru ndio maana

Vibranium

Senior Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
184
Reaction score
430
Mtu kakurupuka kaleta uzi humu, japo ni wa muda kidogo, anaponda kabila hili adhimu kabisa hapa Tz, et ooh wabish, mara wafupi.

Unawajua kwanza waluguru kama hili ndo kabila pekee Tz lililotoa wagombea wawili wa vyama viwili tofauti wakashindana na Nyerere kugombea urais, kipindi wakoloni wanataka kutoa uhuru

Na inadaiwa hao waluguru wawili yaani Mtemvu na Kunambi walimchemsha saana mwalimu, alikuwa anakosa hadi usingizi akiwafikiria waluguru wale

Hadi ndo chanzo mwalimu kuwa mbunge morogoro ili kuwa-counter check wapinzani wake wale.

Kwa hyo dharau muache, waluguru kitambo waliamka, kipindi ambacho hata akina nshomile, bado wanatafta ma-phd,

Na mpaka leo waluguru wako vizur, hata ukiangalia kwenye kada ya mpira wa miguu, wao ndo kama kiwanda cha wachezaji nchini

#Hebu_acha_dharau_wewee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana . Kwanza hao waluguru uliowatolea mfano kumbe walishindwa kwa Nyerere eti unajisifia kuwa walimsumbua.
Pili mfano wa sasa unaoutoa eti tuangalie wachezaji wa mpira,wachezaji haohao walioishia simba na yanga.
Nimekulia maisha yangu yote ya utoto na ujana Morogoro , nawafahamu vizuri nyie watu. Ni wafupi, wabishi washirikina bila kusahau wavivu

Mwalimu ilikuwa lazma ashinde mkuu, alikuwa na back up kubwa saana, mbali na wapiga kura,

Then kitendo chako cha kuwajumuisha waluguru wote kwa kuangalia tabia za waluguru wawili uliokuwa unacheza nao rede, hapo umeyumba mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana . Kwanza hao waluguru uliowatolea mfano kumbe walishindwa kwa Nyerere eti unajisifia kuwa walimsumbua.
Pili mfano wa sasa unaoutoa eti tuangalie wachezaji wa mpira,wachezaji haohao walioishia simba na yanga.
Nimekulia maisha yangu yote ya utoto na ujana Morogoro , nawafahamu vizuri nyie watu. Ni wafupi, wabishi washirikina bila kusahau wavivu

Sent using Jamii Forums mobile app

200%kwenye roho ya korosho hKun kabila lenye hiyo tabia jaman jama waluguru..yaan wana roho mbaya jaman..wanataman mda wote uwe chini yao au muwe sawa😁😁
 
Hahahaha watani zangu waluguru mkuje pande hizi Manengelo ana leta utani wa ngumi huku, Binafsi najiuliza ni yale magimbi wanayo kula toka wakiwa watoto yanapelekea kuwa wafupi 🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂nimeishi pia na waliguru ht ukimkuta Profesa mluguru jua kbs 100%anaroho mbaya...mie simo shost
 
Back
Top Bottom