Huwa yanachuja?

Hata mapenzi ya kweli pia? Siamini

Hamna kitu kama hicho. Kila kitu kikiwa kipya kina mvuto wake lakini baadaye mazoea takes its place. Ndio maana hata sex za mwanzoni mwa relationship zinakuwa very hot lakini as nature takes its toll hottness inapungua gradually.
 
Kweli binaadan tumeumbwa tofauti!!!!!
 
inategemea wanavyoTREATiana

sasa mwambie akisimulie anavyovifanya shemej yako afu tuambie ili tujue tatizo liko wap
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…