Mapenzi ni kama nyumba ambapo hua mpya na baada ya muda huanza kupauka rangi, nyufa kutokea na kadhalika hivyo ni jukumu lenu kuikarabati ili iendelee kua na thamani ile ile na hata kuzidi thamani ya mwanzo. Kumbuka usipoziba ufa...
Uhai wa mapenzi unategemea sana mambo matatu ambayo huenda sambamba; upendo, huruma na uvumilivu kwa wapendanao. Kwani binadamu hupitia hali tofauti(yaani kupanda na kushuka) katika maisha.
Hivyo mapenzi huchuja na hata kuisha kabisa endapo hakutakua na hayo mambo matatu.