Acha bwana!!
Kuna tuhuma kwamba kuna watu humu JF huwa wana tabia ya "kujipigia" Pasi. Eti watoa tuhuma wanadai mtu anaweza kuanzisha thread kwa ID ya "Mkongojo" kisha ana logg Off na kurudi na ID nyingine ya "Bakora" na kuisapoti thread, halafu huyo ana Logg Off na kuibuka na ID nyingine ya "Mkwaju" kuja kuchangia na kuwazodoa wote wanaompinga, kabla ya kufunga kazi kwa ID ya "Fimbo" kwa kuelezea kwanini "mazuzu" hawamuelewi "Mkongojo".Na mwishoooni anarudi tena na ID ya "Mkongojo" kuja kuwashukuru "Bakora","Mkwaju" na "Fimbo" eti kwa kumuelewa!!
Wewe umeshawahi kujipigia PASI?
Hapana bali hawa wanapenda ujiko wakati huo huo wanapenda kutochafua "status" za ID zao kongwe.Labda Kigarama mi niulize , kwani hapa mwisho wa
mwaka hua kuna Award ya Best Thread of year ? Ambayo ikisapotiwa na Member wengi inashinda ?
Kama ndivyo nambie namie nianze hiyo makitu .
Hapana bali hawa wanapenda ujiko wakati huo huo wanapenda kutochafua "status" za ID zao kongwe.
For sure kongosho lol.Kama hii ni kweli, nichagueni niwe mbunge wenu
Mirembe inahitaji kupanuliwa.
Dia , hilo mbona liko kitamboje !
Hasa kule Jukwaa la Wakubwa ndiyo kwenyewe kuna waheshimiwa mabibi na mabwana wana ID Maalumu za kuvinjaria kule !
tenaa kubwaHeh! Basi watu wana kazi...
Ni zaidi ya ujiko na uelewa mdogo!Hapana bali hawa wanapenda ujiko wakati huo huo wanapenda kutochafua "status" za ID zao kongwe.
Ni zaidi ya ujiko na uelewa mdogo!
Uliyonena yapo na watu wenye hizo tabia wanajijua! wamekosa la kufanya ni sawasawa na kujichungulia mwenyewe!
Kuna tuhuma kwamba kuna watu humu JF huwa wana tabia ya "kujipigia" Pasi. Eti watoa tuhuma wanadai mtu anaweza kuanzisha thread kwa ID ya "Mkongojo" kisha ana logg Off na kurudi na ID nyingine ya "Bakora" na kuisapoti thread, halafu huyo ana Logg Off na kuibuka na ID nyingine ya "Mkwaju" kuja kuchangia na kuwazodoa wote wanaompinga, kabla ya kufunga kazi kwa ID ya "Fimbo" kwa kuelezea kwanini "mazuzu" hawamuelewi "Mkongojo".Na mwishoooni anarudi tena na ID ya "Mkongojo" kuja kuwashukuru "Bakora","Mkwaju" na "Fimbo" eti kwa kumuelewa!!
Wewe umeshawahi kujipigia PASI?
ujinga mtupu. Ukimjadili mjinga na wewe unakuwa huna tofauti.