Huwa simbembelezi mwanamke!

Huwa simbembelezi mwanamke!

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,162
Nimejichunguza tabia yangu.
Nimejiona kuwa huwa nina tabia sijui kama ni mbaya kwenu wenzangu, pamoja na umri wako huu, huwa sibembelezi mwanamke.

Naweza kumpenda mwanamke , nikamtongoza, lakini akinizingua huwa simshobokeihata kidogo, yaani hata nione demu mkali kinoma, akinizingua namuona hovyo tu.

Nawashangaaga sana wengine unakuta anamuhangaikia mwanamke kwa kumhonga pesa nyingi ili akubali, au mwanamke umemkosea kidogo unamuomba msamaha kama vile kitu cha ajabu.

Wanawake wote nawachukulia kama unstable creatures, they are trouble makers, they are only to be used for pleasure

Kuwa nao kwa tahadhari sana, kwa sababu most womens are there for material thing, uki lost tu ukawa lofa ndo utamjua mwanamke.

Ule msemo unaosema "when povert gets in through a door, love gets out through a window".

Mwanamke ndo anasababisha wanaume kufa haraka kwenye ndoa, huyu huyu mwanamke ndo husababisha maisha kuwa magumu, kwa vile unatafuta pesa kwa ugumu, mwanamke anazitumia kiulaini bila huruma, kisa ana mbunye.

Nimeandika uzi wa kama kuwaponda baadhi ya wanawake, kwa vile sometimes hawana shukrani, umemfanyia mengi mazuri lakini bado anakufanya Mtumwa wake, unamgonga unamkojolesha lakini siku nyingine umechoka, umemgonga umekojoa wewe, anaanza kukuona nguvu umeishiwa.

Nataka nijifunze kuwa huru, yaani nijipende mwenyewe kwanza badala ya kumpenda mwanamke, hata kama ni mke wangu akigongwa huko atajijua, nachojua mimi ni kupiga bao mimi, wewe kama hujakojoa utajijua mwenyewe.

Mimi mke wangu hata akiondoka huwa simpigii simu hadi apige mwenyewe, ndo nimeamua kuwa hivyo.

Ila nawaheshimu wanawake wanaoheshimu mwanaume, mi ndo niliyeanza kuumbwa mjue.
Povu ruksa kwenu wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...ukifanya research kidogo hata kwenye mitandao wanaolalamika kugongewa ni hao wanajifanya kuwajali wanawake...sisi kundi letu sijawahi kutana na kesi ya kugongewa -
Nb:..mwanaume ukijielewa mwanamke hawezi kukufanyia ujinga hata aweje...huwaga wanakuwaga na sample zao za kuziendesha
Mkuu utagongewa sana kama ukioa. Mwanamke ni kama yai handle with care

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom