Huwa ninakosea wapi kwenye oral interview?

[QUO TE="Shark, post: 18980919, member: 21139"]Eti labda afe halafu azaliwe upya[/QUOTE]
Hahahahahaha!!!
 
Mi nakupa technique hatari ambayo utanikumbuka daima .Jenga ujamaa/undugu na paneli ya washili. Take them as a one family wth u
Hii imenifanikisha mara nyingi, inafika kipindi unapata majibu ya maswali hapo hapo kutoka kwao
 
mimi nilidanganywa konyagi nikinywa ntaongea kingereza safi kbsa tena kwa kujiamini .nikaamka asubuhi nikanywa.kwenye interview nilijibu ata ambayo sikuulizwa dah
hahaha mkuu ulipata kazi lakini?
 
Mimi nakumbuka enzi hizo nimeenda kwa muhindi kupiga interview...muhindi sasa English yake mbovu sijapata kuona...kauliza uliza maswali uchwara nimemjibu yote fresh...kakagua vyeti ananiuliza mbona umefaulu sana [emoji23]...nikamjibu... swali nililochoka ni kwa nini sijavaa tie [emoji23][emoji23][emoji23]... akasema kazi hanipi kwa sababu nimefaulu sana so ntamkimbia na pili sijavaa tie
 
hahahahaha mkuu..ujue umenichekesha sana leo
 
Mkuu kwenye Oral epuka sana neno "sijui",nilikosa kazi kampuni moja hapo moroco kwa sababu ya hilo jibu.
nikarudia tena hilo jibu hivi karibun sema wazungu hawana taabu akaniambia usiseme kamwe hujui kwenye oral just speak out your idea. Mungu yu pamoja nawe,siku yako pia bado haijafika ikifika hakuna wa kuizuia just believe that
 
Aiseee oral nomaaa
Nakumbuka niliulizwa unafanya kazi gani kwa sasa nikajibu sina kazi yyte,kwanini huna kazi yoyote unaiba au pesa za vocha unapata wapi nikajibu ninakibiashara kidogo jamaa akasema nenda kaendeleze biashara yako hapa hatutoi mitaji
Ungeendelea kukomaa kama vile unapinga kutoka lakini wakikazia toka mzee.
 
Uwe demu mweupe au black beauty mwenye shape.
 
1 jua hadi unafika hapo kuna wenzio wamefikishwa hapo maana kila sehemu kuna ndugu wanaotaka ndugu zao wapate kazi. Mshukuru mungu omba mungu utakuja kupata,
 
Kuna sehemu nikituma maombi mkoa na ni serikalini tulitakiwa 2 tulioenda 53 tuliobaki kwenye oral 16 kwamimi Nilikua nasifa zote ila sikuitwa alikua kupewa mtoto wa mtawala na mwingine hata barua hakuandika simu tuu ilipigwa but yule ambae hakuandika barua alifanya mwezi tuu na kuomba kuacha kazi sababu hawezi Fanya kazi mkoani hivyo nikaitwa mie hadi Leo mwaka wa 4 tena serikalini
 
Kwani mkuu ukifanya kazi serikalini kuna uspecial gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…