StraTon MemPhis GhaZar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 592
- 391
wanaangalia saana uweza wa kujiongeza kiutu uzima.... ukisikia oral sio ndo ujue dry.. weka pesa mbele hakuna cha buure utafanya saana usaili dadek... risk a sprat to catch a whale... dunia ni mwendo wa ngisi, kung'aa sio lazima star ashushwewakuu,nikisema kuwa huwa siitwi kwenye usaili nitakua namkosea mungu wangu bure.
kuanzia mwaka juzi nilipomaliza chuo nimehudhuria saili 15 kati ya hizo 6 zilikua ni oral interview ambazo kwa mtazamo wangu niliona kama nimefanya vizuri tu.kwa mfano kuna NGO moja ya kimarekani ina ofisi zao pale mikocheni waliwahi kutuita watu123 kwenye usail ambapo walikua wanataka watu wawili pekee,tulianza interview kwa kwa kupewa mtihani wa kuandika ambapo tulichujwa mpaka tukabaki watu 16 ambapo tukachujwa tena tukabaki watu 6 ambao tuliingia kwenye oral ya kwanza ambapo tukachujwa tena na tukabaki watu watatu ambao tuliingia final interview,lakini baadae me nikakosa kazi.
so wakuu kwenye oral huwa wannangalia nini ili na mie niboreshe niweze kupata kazi?
Yaani uko kwenye panel ya watu sita mfano, afu unaanzaje kuuliza kama wanapokea kitu kidogo? [emoji20] [emoji20] [emoji20]wanaangalia saana uweza wa kujiongeza kiutu uzima.... ukisikia oral sio ndo ujue dry.. weka pesa mbele hakuna cha buure utafanya saana usaili dadek... risk a sprat to catch a whale... dunia ni mwendo wa ngisi, kung'aa sio lazima star ashushwe
Hiyo lugha yakujua miezi 6 unafundishwa kwa Bluetooth?Kwa Ras simba Ndani ya miezi mitatu atajua asipojua hata akipelekwa uingereza hatajua milele[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah ! Wenyewe wanasema ulikosea wapi hapo?Aiseee oral nomaaa
Nakumbuka niliulizwa unafanya kazi gani kwa sasa nikajibu sina kazi yyte,kwanini huna kazi yoyote unaiba au pesa za vocha unapata wapi nikajibu ninakibiashara kidogo jamaa akasema nenda kaendeleze biashara yako hapa hatutoi mitaji
Wanatabia mbaya sanaNyingine jamaa anauliza enhee unampango wakuendelea kusoma nikajibu ndio, mana nna diploma, akauliza kwanini hujajiendeleza mpk sasa nikamwambia sijapata ada mzee akasema kwaio unataka tukuajiri hapa uje utuibie upate pesa ya ada,toka hatuna nafasi hapa, nliishiwa nguvu aiseee i hate oral interviews
Sio kweli kwa maelezo yake apite aral zote zile hadi mwisho akose angekua hajui angetoswa mapemaAu ngeli mgogoro, the the zinakua nyingi, unazungukuaa sana,
Hudhuria kwa Ras Simba kusafisha ung'eng'e
Haaaa hii mpya dahmimi nilidanganywa konyagi nikinywa ntaongea kingereza safi kbsa tena kwa kujiamini .nikaamka asubuhi nikanywa.kwenye interview nilijibu ata ambayo sikuulizwa dah
me naishiaga written tu kati ya interview 6 nilizohudhuria yn cjawah kabisa kufika oral.Shukuru Mungu umefikia hiyo level
Hahaaaaaaaaaaaaaa... Daaaaahmimi nilidanganywa konyagi nikinywa ntaongea kingereza safi kbsa tena kwa kujiamini .nikaamka asubuhi nikanywa.kwenye interview nilijibu ata ambayo sikuulizwa dah
PointMkuu mm tuliitwa interview watu 22 anatakiwa mmoja tu, kulipewa written interview tulibaki wa wili tu, mshikaji akapata!!! Lakni baadae nakaja kupata kazi nyingine tena nzr kuliko ile.
Ushauri wangu unapo enda kwenye interview relax, be confident enough, kitu kikubwa kinacho sababisha kushindwa kwa interview ni kuwa na matakwa makubwa ya hiyo kazi ambayo baadae inasababisha baadae kukosa kujiamini na kuwa na mawazo ya kuwa nikikosa itakuaje!!!
[emoji3]mimi nilidanganywa konyagi nikinywa ntaongea kingereza safi kbsa tena kwa kujiamini .nikaamka asubuhi nikanywa.kwenye interview nilijibu ata ambayo sikuulizwa dah
Ulikutana na watu ambao wana roho mbaya!mtu yoyote mstaarabu hawezi kukupa majibu ya namna hiyo hata kama anaona hau- fit kwenye hiyo kazi, pole sanaAiseee oral nomaaa
Nakumbuka niliulizwa unafanya kazi gani kwa sasa nikajibu sina kazi yyte,kwanini huna kazi yoyote unaiba au pesa za vocha unapata wapi nikajibu ninakibiashara kidogo jamaa akasema nenda kaendeleze biashara yako hapa hatutoi mitaji
Nyingine jamaa anauliza enhee unampango wakuendelea kusoma nikajibu ndio, mana nna diploma, akauliza kwanini hujajiendeleza mpk sasa nikamwambia sijapata ada mzee akasema kwaio unataka tukuajiri hapa uje utuibie upate pesa ya ada,toka hatuna nafasi hapa, nliishiwa nguvu aiseee i hate oral interviews
mzee baba ile ORAL ya TRA walikutwanga maswal ganwakuu,nikisema kuwa huwa siitwi kwenye usaili nitakua namkosea mungu wangu bure.