Huwa nikikumbuka nafurahi sana!!!

Huwa nikikumbuka nafurahi sana!!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,476
Reaction score
29,223
Ni hivi wakuu kuna siku niliamka asbh na mapema kuwahi ofsini sasa kabla sijafika nikaputia mgahawani ninapokungwa chai!! Pale nikamwita mhudumu aje kunisikiliza!! Wakati nimetulia kwa pembeni kidogo nikamwona mrembo mzuri sana katulia nikaanza kujisemea kimoyomoyo hapa lazma niondoke nae!!!wakati nawaza namna ya kuanza mauchokozi yangu gafla akaja jamaa pale akanza kumsema yule mrembo!!yule mrembo akanza kuomba msamaha!!!""john nisamehe lliez mme wangu sitorudia tena!! Kweli john nimekoma!!"" Yule jama hakuongea chochote nikaona anandoka na yule mrembo akabaki analia!! Mimi kwa harakaharaka nikanyanyuka kwenda kumbembeleza yule mrembo!!wakati nanyoosha mkono kumshika bega!! Kwa pembeni nikasikia sauti!!!! Samahani brother tunafanya shooting ya filum unatuharibia picha!!!!
 
Duuuuh! Sasa Mkuu ulifurahia nini? Si umeambulia maumivu?

Hahahaha! Hata mm nimefurahia mwishoni
 
hahahahahahahahahaha aibu
 
Sasa movie crew walikuwepo wapi hata ufike kote huko? Hata neno action hujasikia?[emoji15] na ule muangaza? Sasa kwa Watanzania wanavyopenda udaku huyo cashier angeli shakwambia zamani kama mkahawa wao kuna rekodiwa movie hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mi pale nilidhani mtu na mpenzi wake wanabembelezana yule jamaa akaondoka kwa hasira kidume nikajipa moyo kuwa naenda kujiepulia kiulainii kumbw walikuwa wanaigiza asee!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom