Huwa natamani sana kuona muungano wa nchi za Kikristo

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Kuna Muungano wa nchi za kislam ila bila shaka hakuna muungano wa nchi za Kikristo.

Huwa nafikiria nchi kama Marekani, Ujerumani, Urusi, Canada, Australia, Poland, Uingereza, Denmark, Argentina, Norway, Philipino, Ugiriki , Zambia, Ethiopia, Armenia, Mexico, Congo nk kuanzisha umoja wa nchi za Kikristo.

Natamani kuona Muungano huu ukishirikiana kwenye maswala mbali mbali.
 
Anyway, kila aina ya Muungano huwa una faida na hasara zake, natumai kuna jambo umeliona ambalo una imani litaujenga huo Muungano

Ila yote kwa yote Sisi tumeungana katika kweli ambayo ni Kristo Yesu pekee, mpaka wakati huo utakapofika tutaendelea kusambaza upendo hata kwa wale watuchukiao.
 
Hakuna muungano wa kidini ,ule ni muungano wa kikanda ,mda mwingine wanapigana kwa sababu kuna maslahi binafi.

Hizo nchi ulizotaja sio za kikristo kwa vile hazina katika ya kutumia biblia tusidanganywe hakuna nchi ya kikristo kwa vile hatumii katiba ya biblia labda vatican .
 
Mataifa yenye nguvu za kiuchumi kisayansi na maarifa wanaungana ktk mambo ya maana...
Sio mambo ya kipumbavu (muungano wa Imani/dini)...
Siku nchi za kikristo zikijaribu kuungana mbili tu, kuna dini zitakufa kwa njaa na umasikini...
 
Kuna Muungano wa nchi za kislam ila bila shaka hakuna muungano wa nchi za kikristo.

Huwa nafikiria nchi kama Marekani, Ujerumani, Urusi, Canada, Australia, Poland, Uingereza, Denmark, Argentina, Norway, Philipino, Ugiriki , Zambia, Ethiopia, Armenia, Mexico, Congo nk.. kuanzisha umoja wa nchi za kikristo.

Natamani kuona Muungano huu ukishirikiana kwenye maswala mbali mbali.
We huna ujualo, nchi ya kikristo hakuna hapo zaidi ya Poland, zote unazosema ni secular states. Hakuna jamuhuri ya kikristo kama zilivyo Saudi, Iran, Pakistan, Afghanistan, Qatar, ambazo zinafuata Sharifa za kiislam! Australia? Really? We inaelekea huelewi, hakuna kitu hapo.
 
una uhakika nchi ulizozitaja ni kidini/kikristo
tupe ushahidi kuhusu hilo
una uhakika hata vatican yenyewe ni kikristo?
 
Kuna Muungano wa nchi za kislam ila bila shaka hakuna muungano wa nchi za kikristo.

Huwa nafikiria nchi kama Marekani, Ujerumani, Urusi, Canada, Australia, Poland, Uingereza, Denmark, Argentina, Norway, Philipino, Ugiriki , Zambia, Ethiopia, Armenia, Mexico, Congo nk.. kuanzisha umoja wa nchi za kikristo.

Natamani kuona Muungano huu ukishirikiana kwenye maswala mbali mbali.
Kukiwa na huo muungano wavaa makobazi wataandamana na kuanzisha mihadhara ya kupinga wakati Umoja wa Kiislamu upo
Hawa jamaa hawajawahi kuwa na akili
 
UN ipo , kuhusu nchi za Kristo, isikupe shida Kristo Yesu alishatuinganisha katika roho MTAKATIFU, ndiyo maana Mkristo yeyote hawezi jiombea mwenyewe lazima aombe na kwa ajili ya wengine, kwahiyo Baba yetu ni Kristo Yesu tupo pamoja.
 
We huna ujualo, nchi ya kikristo hakuna hapo zaidi ya Poland, zote unazosema ni secular states. Hakuna jamuhuri ya kikristo kama zilivyo Saudi, Iran, Pakistan, Afghanistan, Qatar, ambazo zinafuata Sharifa za kiislam! Australia? Really? We inaelekea huelewi, hakuna kitu hapo.

Nimesema natamani kuona muungano wa nchi za kikristo na nikasema natamani kuona nchi kama nilivyotaja kuungana
 
Ukristo ndio unaotawala dunia na uislam unajua hilo. Hata bila kuanzisha umoja huo tayari upo na una nguvu kubwa kuliko umoja wa kiislam. Waislam wanajititimua tu ili nao wapate sauti duniani ila sauti yao ni ndogo haina effect kwa mfumo wa kikristo unaongoza dunia
 
Mletamada dunia yote hii unayoiona ni sura halisi ya ukristo,usipouamini utauishi bila kutaka,usipousikia utauonja.

Ni kama tulivyo na siku ya wamama/watoto duniani lakini hakuna siku ya wababa,wababa siku zote ni zao.wanasherehekea saa na siku yoyote popote walipo.
 
Hii umesimuliwa na nani kijiweni??
Hii umesimuliwa na nani kijiweni??
Sponsored
Small Business UK
What the 2023 Spring Budget means for UK tech
 
Kuna Muungano wa nchi za kislam ila bila shaka hakuna muungano wa nchi za Kikristo.

Huwa nafikiria nchi kama Marekani, Ujerumani, Urusi, Canada, Australia, Poland, Uingereza, Denmark, Argentina, Norway, Philipino, Ugiriki , Zambia, Ethiopia, Armenia, Mexico, Congo nk kuanzisha umoja wa nchi za Kikristo.

Natamani kuona Muungano huu ukishirikiana kwenye maswala mbali mbali.

Kwa ulivyo andika inaonesha wazi hata hujui ni kigezo gani kinachotumika kutambulisha kuwa Nchi flani ni ya Kiislam a Kikristo.
Nikupe tu mfano wa baadhi ya Nchi ulizotaja;
  1. Urusi haina wakristo, waliopo ni kama 7%
  2. Israel - haina wakristo (waliopo ni chini 2%)
  3. Ujerumani wakristo ni chini ya nusu (kwenye 47%)
  4. Marekani wakristo ni kama nusu tu
  5. Canada wakristo ni kama nusu tu
  6. Ni nchi chache tu ambazo zina asilimia kubwa ya kushawishi kuwa zinaweza kuwa za Kikristo
 
Back
Top Bottom