Huwa napagawa sana nikiona wameyachomeka kwny ch*pi au taiti

Mkuu unanichekesha sana!

Sasa kama hivyo , madera bei chee tuu 15000-25000..
Mnunulie mkeo madera kama 10 hivi na taiti kama 10 hivi ili awe anavaa full time...roho yako ipate kitu inataka..!

Mkuu umpiga ikulu
Ushauri muruwa kabisa yaani mke wake ampige marufuku kuvaa mavazi mengine iwe mwendo wa madela na kuchomekeza tu
Patamu hapo!!!!!!!!!
 
😝😛😛😛😛 😝😛😛😛😛
 
Mkuu umpiga ikulu
Ushauri muruwa kabisa yaani mke wake ampige marufuku kuvaa mavazi mengine iwe mwendo wa madela na kuchomekeza tu
Patamu hapo!!!!!!!!!

Hakuna namna tena hapo...Mara mana lazima roho zipate kitu zinatoka....

Movie awe anaangalia kwake kabisa. Hahaaa:D:D:D
 
Back
Top Bottom