Huwa najiuliza....hili swali.....

Kwa kweli mi sioni kama kuna shida. Mbona hata nyumbani kuna wakati tukiona mwanamke mzuri tunacomment? kweli kama ni mtu wa karibu sijawahi kumskia akitoa maoni, ila kama barabarani, au TV, au wanawake alienda nao shule zamani anaweza kusema: unajua sweety leo nilikutana na dada mmoja tulikua nae shule, kawa mzuriiii, najifanya kuchukia alafu tunacheka na yanapita. Au anaweza kusema huyu dada mzuri ila kanyimw makalio na tunacheka pia.
Kuna siku niliongea na mmoja katika majudge hao akanambia hawaoni hao miss kama wanawake, anawaona kama artfact. ni kama kusoma kitabu na kutoa maoni yako na uweze kutetea maoni. au kama kuangalia picha na kusema kama ni nzuri au mbaya etc.
 

hahahah..
 

hongera. . .
Mkeo anajiamini. . .
Na anakuamini. . . . .
Na ana uhakika na penzi lako kwako. . .
Na anakujua vyema. . . Hofu za nini nawe ni wakwake. .
 
fabinyo... avatar yako ni mwisho wa reli.... jamaa kazima taa kabisa
 
i agree with u.. mi nikiongozana na wangu ndo kwanza nikiona a nice behind ama boobs namuonesha kabisa,tunaanza kuzijadili (hehehe,na hapo lazma tunaishia kwenye kunisifia,huoni kama ni advantage ambayo nyumba kubwa anaikosa?).
Mkuu Boss,
wao na wake zao wanajuana, wana Tabia zinazofanana na wamekubaliana

ni kama vile Mchungaji na Mama Mchungaji
 
heshima kwako nyumba kubwa.
sasa kama ndo mkali hiyo ww yanayoendelea huku mtaani si yanakupita kabisa? manake unahitaji kujua mbinu za adui wako,teh teh! manake mumeo akitaka kwenda khanga moko ndembendembe si inabidi akudanganye katekwa,lol! shurti mnasindikizana, afu unaanza kusifia na yeye anasifia la kako bana. japo hapo kwenye last line umemaliza, though ujana unaanzia 40,lol
 
mimi ni mwanaume sioni cha ajabu hapo hiyo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine
vp kwa wanaume wanaomiliki/fanya biashara za nguo za wanawake au vipodozi tatizo ni nini?
kama wewe ni daktari bingwa wa matatizo ya wanawake, issue ipo wapi?
je kama wewe ni mpishi kwenye mgahawa, cha ajabu ni kipi hapo?
hiyo ni aina ya kazi na maisha, jiamini
 
Mbaya zaidi ni kuwa watu wengi - at least ninaowafahamu- wanaamini kuwa binti hashindi kama hatakubali kuvua chupi! Fernandes wa ATV alitaka kuanzisha mashindano ya "Miss Jesus ", mnakumbuka kilichotokea? For a record, MIMI MWENYEWE NILIMTUMIA MSG KALI AMBAYO HATA HAPA JF NAOGOPA KUIRUDIA!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…