mbona simple tu jamani BOSS its like this........he mke wangu nashangaa kumbe wameniweka eti nikasimamie umiss hahaaaaaaaaa kwann hawakunishirikisha jamani wanajiamulia tu kazi zingine bwana mtu huna maamuzi unaamuliwa tu we leo ndio kasimamie u miss wakati mm nataka kukaa na mke wangu kupumzika sasa itakuaje ile out tulipanga .........ila hamna shida ivi ulisema mama yako anashida ya laki 8 za kuongezea biashara yake basi chukua izi utampa
basi na mke akiona ivo basi hakumbuki tena kabisa kuuliza huo umiss ilikuaje uwe muandaaji.........then mister anamalizia kwa kusema ivi ulisema wataka kwenda saloon ok chukua hii na shopping yako nakupenda sana mke wangu kuliko chochote kile
thats the game bro mke kwishney
.ila hamna shida ivi ulisema mama yako anashida ya laki 8 za kuongezea biashara yake basi chukua izi utampa
basi na mke akiona ivo basi hakumbuki tena kabisa kuuliza huo umiss ilikuaje uwe muandaaji.........then mister anamalizia kwa kusema ivi ulisema wataka kwenda saloon ok chukua hii na shopping yako nakupenda sana mke wangu kuliko chochote kile
thats the game bro mke kwishney
Kuna wanawake vichwa ngumu sana huwa hawanunui story za namna hii, hata apewe milioni anachukua na bado anapiga biti la kufa mtu, kuna rafiki angu mumewe anafanya kampuni ambayo ilidhamini umiss, alichaguliwa eti awe jaji looo mbona palikuwa hapatoshi, mke alimwambia kuwa jaji ukimaliza hiyo kazi mimi na wewe ndio basi alikataa katakata, mpaka ofisi ikachagua mtu mwingine, mamiss wenyewe wamepinda namna hii, msichana akishiriki miss tu ndoto yake ni kuendesha gari lile, akilikosa yuko tayari afanye uchangu na vibosile apate hata kivits chake, sasa hapo waume wanaponaje kweli na hawa wanaojipeleka wenyewe je kwa kigezo cha udhamini na usimamizi ndio wanakuwa wa kwanza kubebwambona simple tu jamani BOSS its like this........he mke wangu nashangaa kumbe wameniweka eti nikasimamie umiss hahaaaaaaaaa kwann hawakunishirikisha jamani wanajiamulia tu kazi zingine bwana mtu huna maamuzi unaamuliwa tu we leo ndio kasimamie u miss wakati mm nataka kukaa na mke wangu kupumzika sasa itakuaje ile out tulipanga .........ila hamna shida ivi ulisema mama yako anashida ya laki 8 za kuongezea biashara yake basi chukua izi utampa
basi na mke akiona ivo basi hakumbuki tena kabisa kuuliza huo umiss ilikuaje uwe muandaaji.........then mister anamalizia kwa kusema ivi ulisema wataka kwenda saloon ok chukua hii na shopping yako nakupenda sana mke wangu kuliko chochote kile
thats the game bro mke kwishney
dah,uko vizuri kwa uongombona simple tu jamani BOSS its like this........he mke wangu nashangaa kumbe wameniweka eti nikasimamie umiss hahaaaaaaaaa kwann hawakunishirikisha jamani wanajiamulia tu kazi zingine bwana mtu huna maamuzi unaamuliwa tu we leo ndio kasimamie u miss wakati mm nataka kukaa na mke wangu kupumzika sasa itakuaje ile out tulipanga .........ila hamna shida ivi ulisema mama yako anashida ya laki 8 za kuongezea biashara yake basi chukua izi utampa
basi na mke akiona ivo basi hakumbuki tena kabisa kuuliza huo umiss ilikuaje uwe muandaaji.........then mister anamalizia kwa kusema ivi ulisema wataka kwenda saloon ok chukua hii na shopping yako nakupenda sana mke wangu kuliko chochote kile
thats the game bro mke kwishney
...and thats Destiny. Nimeipenda hiiHiyo kazi ilipaswa kufanywa na ma bachelor si waume za watu. Bora tufe njaa.
Mimi kuna vitu sifagilii including u miss. Sijawahi na sitawahi kwenda kuangalia haya mashindano na mume wangu. Kha; yani tupozi kabisa tunaangalia uzuri wa mabinti mimi na mume wangu afu anashangilia "yule mzuri mwangalie macho, mwangalie miguu, mwone anavyoongea" tutaishia kugombana. Sina uvumilivu kwenye kumsikia mume wangu anamsifia mwanamke yeyote. Asifie kimoyo moyo nisijue.
Haya ni mambo ya vijana bwana.
Hiyo kazi ilipaswa kufanywa na ma bachelor si waume za watu. Bora tufe njaa.

Aisee watu wanatofautiana!!!
Maana mimi mke wangu inabidi nimkumbushe mara mbil mbili siku Sikinde wana shoo, au siku anakuja mzee wa kitambaa cheupe... Lakini mashindano ya u-miss napewaga taarifa wiki kadhaa kabla, na nikigoma kwenda nae atapiga mgomo wa mtoko miezi 3... Tukifika yeye ndo wa kwanza kunionyesha wazuri na kuwachambua, na huwa hadi tuna-bet kama utabiri wetu kwa mshindi utakuwa tofauti...