Huwa nachukia sana 'Unafiki' kama huu hasa pale Mtu maarufu au wa Kawaida tu anapofariki dunia

Hivi Gerson Msigwa unataka Kutudanganya kuwa kwa Hadhi yako uliyokuwa nayo na ambayo hata sasa unayo ni kweli tokea uwe hapo Ikulu mwaka 2015 hadi leo hii ulikosa kabisa muda hata wa kumualika Marehemu 'Fredwaa' hapo Ofisini Kwako Ikulu au hata Nyumbani Kwako au sehemu yoyote na mkaonana mpaka leo hii uje na huu 'Unafiki' wako uliopitiliza na usiovumilika.
Kuna binadamu ambao ukiitazama midomo yao, macho yao na pua zao unapata majibu ya walivyo hata bila kuuliza
 
gersonmsigwa Mwamba ' Fredwaa ' nilikuwa na hamu sana ya kukutana nawe siku moja, lakini haikutokea na leo umelala milele.

Nilitaka kukwambia wewe ni Mwanamapinduzi wa utangazaji. Mimi mtangazaji mwenzako nilivutiwa sana na jinsi ulivyokuwa unaupigwa mwingi sana kwenye microphone 🎤.

Sindano 5 za moto zilitupa burudani sana sisi Wananzengo.

Hivi Gerson Msigwa unataka Kutudanganya kuwa kwa Hadhi yako uliyokuwa nayo na ambayo hata sasa unayo ni kweli tokea uwe hapo Ikulu mwaka 2015 hadi leo hii ulikosa kabisa muda hata wa kumualika Marehemu 'Fredwaa' hapo Ofisini Kwako Ikulu au hata Nyumbani Kwako au sehemu yoyote na mkaonana mpaka leo hii uje na huu 'Unafiki' wako uliopitiliza na usiovumilika.

Haya basi hebu tuambie kuna Mtangazaji gani mwingine aliye Hai bado na unempenda sana ili ajue kupitia Uzi huu huu wangu na ajijue kisha akutafute na umpangie 'appointment' ya kuonana nawe ili uje umpe SIfa zake 'Mubashara' kabla hajafa halafu kama kawaida yako ukakimbia tena 'Kujifaragua' Mitandaoni kuwa ulikuwa unamkubali wakati hasikii na akiwa kalala Mochwari.

R.I.P Fred Fidelis alias Fredwaa.
Gentamyncine:

Bado hatujajifunza tunafikiri kila jogoo akiwika ni asubuhi.

Kwa mtu kama yeye alikuwa anasubiri nini ?
 
Back
Top Bottom