Huwa BBC Swahili siwaelewi!

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Unakuta wakati fulani wanafululiza kuzungumzia agenda za ajabu.
Kwa mfano unakuta wanajadili kuhusu pedi kwa wanafunzi au ushoga nk nk
Hivi wanakuwa wamekosa agenda zingine hadi wazungumzie agenda hizo! unakuta umekaa na wazazi au watu unaowaheshimu halafu ndio wanalianzisha,yaani ni aibu tupu,mjirekebishe.

Sent from my HUAWEI P8max using JamiiForums mobile app
 
Unachoongea ni sahihi ila ujue kila mtu anainterest yake, wengi hatupendi hayo mambo lakini kiukweli kuna wengine hayo mambo wanayafwatilia sana. Kwoo kama kwako ni baya, kuna wengine ni kinyume chake...
 
Kuna BBC Swahili
na BBC NEWS
Hizi zote ni media za nje. Kwahiyo usishangae wanapoongelea masuala hayo sbb utamaduni wa ughaibuni unaruhusu.
 
Lengo lako nn? Watoto wa kike wakiwa period waendelee kutumia marlboro au vipande vya viloba kuzuia hedhi isishuke miguuni?
Kweli nimeamini mhenga aliyesema mjenga nchi ni mwananchi na mbomoa nchi ni mwananchi. Elimu mhimu
 
Mada kama hii kuwekwa kwenye TETESI tunachanganyana
 

Mkuu samahani kwani hao ' Wazazi ' wako hawajui matumizi ya ' Pedi ' na tatizo la ' Ushoga ' ambalo wameyajua hata kabla hawajakuleta in the World?
 
Mmmh kuna watu wana wivu jamani !!

love thé love or hâte thé love.....
 
Hii ni tetesi bado haijawa cornfirmed...
 
Sasa ww ulisikia wale watt walivyokuwa wanaelezea wanavyopata tabu kutumia vitambaa vya vitenge...unaona aibu ukisikia pedi redioni?!
 
Ushoga ni agenda kubwa kwa mataifa ya wenzetu, yaani kubwa kushinda hata agenda ya makinikia kwa hapa kwetu. Ukianzisha vita dhidi ya ushoga, hutabaki salama nakuhakikishia. Muulize Bashite. Aliwahi kuanzisha vita vya ushoga. Leo kinampata nini? Jiulize

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kuna BBC Swahili
na BBC NEWS
Hizi zote ni media za nje. Kwahiyo usishangae wanapoongelea masuala hayo sbb utamaduni wa ughaibuni unaruhusu.
rakini inabidi wajue watu wanao wapelekea matangazo (east africans)ni vibaya sio watu pandikizie tabia za ajabu bwana make BBc swahili inatulenga sisi wao wanajua jamii yetu ni ipi wajirekebishe

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
Ndo mana unatakiwa ununue tv yako ukae nayo chumbani kwako.Afu hayo ni mambo ya kawaida sana siku hizi

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
rakini inabidi wajue watu wanao wapelekea matangazo (east africans)ni vibaya sio watu pandikizie tabia za ajabu bwana make BBc swahili inatulenga sisi wao wanajua jamii yetu ni ipi wajirekebishe

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
Ukisema wajirekebishe ni sawa na kuingia chumbani ukasema Trump kesho asubuhi ujiuzuri uraisi. Inaweza kutokea? Ushoga unafanyika ulaya, je ww imekuathiri nn?
Kupanga ni kuchagua. KM TUMESHINDWA KUTHAMINI VYETU KWANN WASITULETEE UJINGA WAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…