Huunimtego au jini


watch out bro
 

Piga mzigo uooo acha uzembe
 
Inategemea na aina ya handset, ila kama ni samsung au nokia kubwa unamu-add kwenye reject list; automatically simu akipiga anapata busy tone.
Mkuu yangu ni Samsung Galaxy ngoja nijaribu kuna kiumbe ananisumbua.
 
mlete kwangu nimtengeneze fastaaa, my no is 911 aulizie Afande Manyota atanipata :becky:
 
Mkuu yangu ni Samsung Galaxy ngoja nijaribu kuna kiumbe ananisumbua.

Mkuu, unayo simu kali ila umeniangusha kitu kimoja ambacho watu wengi wanacho.

Inakuwaje unaanza kutumia kitu bila kusoma user manual? Unaweza ukadhani kuwa wewe ni mjanja lakini ni muhimu kusoma manual before start operating a device. Its my advise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…