Huu wizi wanaofanya Tanesco haukubaliki.

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,004
Reaction score
98,146
Umofia kwenu wana JF,
Wadau nalileta kwenu hili swala la wizi wa mchana kweupe wanaofanya tanesco,leo kuna ndugu yangu aliniomba nimnunulie umeme nikasema ngoja nimnunulie wa buku tano nikapewa risiti lakin gafla nilishangaa kuona napata unit 1.2 nikajaribu kuangalia makato kumbe nikajikuta nimenunua umeme wa sh 257.36 na sh 4742.64 yote imekatwa kodi,ikabidi niongeze mwingine wa buku 5 na kupata unit 18.7 na kumtumia ndugu yangu,ebu angalia summary ya makato.
============
Units: 1.20Kwh
T.Unit cost:Tsh257.36
Tax(VAT 18%,EWURA1%,REA3%) Tsh 56.62
Fixed Amount: Tsh3841
Tax(VAT 18%,EWURA1%,REA3%) Tsh 845.02
Total Cost:Tsh 5000
============
Jamani mbona tanesco na serikali ya ccm wanatuibia namna hii? Hii Fixed amount tunalipia kwa ajili ya nini? Mbona Dawasco hakuna Fixed amount unalipa unit za maji ulizotumia? Mbona vocha za cm hakuna fixed amount? Wadau tufanye nini kuondoa huu wizi unaofanywa na serikali kupitia tanesco?
 
Mkuu, hiyo fixed cost ni service charge na haijalishi umenunua umeme wa shilingi ngapi. Hiyo service charge hulipwa kila mwezi, usipolipia mwezi huu hata ukikaa mwaka, siku ya kununua umeme utaambulia zero maana utakatwa malimbikizo yote ya service charge/fixed cost! Hata Mamlaka za Maji nazo zibatoza ingawa si kwa kiwango sawa na Tanesco, mfano; AUWASA (Mamlaka ya Maji Arusha), wao wanatulipisha sh mia sita.
 
Pole mkuu huo ndio utaratibu mpya, lakini ni uhuni tu kwani mwanzoni walisema, wateja wenye LUKU hawatalipia fixed charge lakini wakabadilisha mawazo. Kulikua na ile issue ya discount kwa unit 50 za kwanza sasa hivi haipo tena, yaani umeme umekua ghali kuliko maelezo!!
 
Service charge inalipwa kila mwezi. Ucpolipia au ukinunua umeme mwingi mara moja. Siku ya kununua utakatwa cost ya kila mwezi. Maisha ya Bongo ni magumu sana ndugu yangu.
 
Umofia kwenu wana JF,
Wadau nalileta kwenu hili swala la wizi wa mchana kweupe wanaofanya tanesco,leo kuna ndugu yangu aliniomba nimnunulie umeme nikasema ngoja nimnunulie wa buku tano nikapewa risiti lakin gafla nilishangaa kuona napata unit 1.2 nikajaribu kuangalia makato kumbe nikajikuta nimenunua umeme wa sh 257.36 na sh 4742.64 yote imekatwa kodi,ikabidi niongeze mwingine wa buku 5 na kupata unit 18.7 na kumtumia ndugu yangu,ebu angalia summary ya makato.
============
Units: 1.20Kwh
T.Unit cost:Tsh257.36
Tax(VAT 18%,EWURA1%,REA3%) Tsh 56.62
Fixed Amount: Tsh3841
Tax(VAT 18%,EWURA1%,REA3%) Tsh 845.02
Total Cost:Tsh 5000
============
Jamani mbona tanesco na serikali ya ccm wanatuibia namna hii? Hii Fixed amount tunalipia kwa ajili ya nini? Mbona Dawasco hakuna Fixed amount unalipa unit za maji ulizotumia? Mbona vocha za cm hakuna fixed amount? Wadau tufanye nini kuondoa huu wizi unaofanywa na serikali kupitia tanesco?

Dah inauma aisee, yani 5000 unambulia unit 1? Una haki kulalamika mkuu. Fixed charge iko karibu kampun nyingi za umeme, kuna sehem nlikuwa kila siku ni $1 service charge tu kabla hujanunua umeme.

Pole sana nadhani hiyo haikwepeki ila ni chaji ya mwezi mkuu, so ukinunua leo ni chaji hadi mwezi wa 8 uishe ndipo utakatwa tena 3865. So kwa mwaka unalipia tanesco 3865 x 12 nje ya unit za matumiz yako
 
tena mimi walikua wanacharge 5000 fixed cost, price per unit ilikua ni 320 siku moja nikaenda office za tanesco nikaomba niongee na manager, nikatumia nguvu ya mamlaka hapohapo nikabadilishiwa rate.
price per unit sasa nanunua 100..
angala naweza kuwasha hata AC!

Hongera kiongozi mie nanunua kama kwa sh 230 kwa unit hawa jamaa ni wezi ili swala inabidi nimpelekee mbunge wangu mnyika apeleke hoja binafsi kupinga huu wizi.
 
Mkuu, hiyo fixed cost ni service charge na haijalishi umenunua umeme wa shilingi ngapi. Hiyo service charge hulipwa kila mwezi, usipolipia mwezi huu hata ukikaa mwaka, siku ya kununua umeme utaambulia zero maana utakatwa malimbikizo yote ya service charge/fixed cost! Hata Mamlaka za Maji nazo zibatoza ingawa si kwa kiwango sawa na Tanesco, mfano; AUWASA (Mamlaka ya Maji Arusha), wao wanatulipisha sh mia sita.

Mkuu hawa ni wezi huku dar dawasco hawakati huu upuuzi wanaangilia units ulizotumia x 1119,service charges za nini? Mbona umeme tunanua bei ya juu maana serikali inanunua 1unit kwa sh 90 na kutuuzia bei ya juu hadi 230 kwa unit.
 
. Hiyo fixed charge ina kazi gani??????

Ila sawa mbona fire wamejihalalishia kukata 20,000- 40,000 kila mwaka ambazo matumizi yake hayajulikani

Wanachi tutakwanguliwa hadi akili ikae sawa
 
Service charge, sawa. Lakini ni kubwa mno ukilinganisha na service inayofanyika na idadi ya watu wanaokatwa hiyo service charge! Hapo ndipo ninapoona na kukubali kuwa huo ni wizi.
 
Tumia sollar kuwakwepa kupika tumia gesi ya uchafuu unaozalisha nyumbani utakuwa umewakwepa hao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom