. Hiyo fixed charge ina kazi gani??????
Ila sawa mbona fire wamejihalalishia kukata 20,000- 40,000 kila mwaka ambazo matumizi yake hayajulikani
Wanachi tutakwanguliwa hadi akili ikae sawa
Ni wezi tu sijaona hyo service charges tunalipia nini wakati umeme unauzwa kwa bei ya juu,mbona dawasco hawana service charges