eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Sijui ninini kinawavutia watu katika huu wimbo
Tangu utoke ni nyimbo nyingi nzuri zimetoka lakini bado unasikika tu kwenye maredio matv na kwenye maclub na ukipigwa kwenye matamasha ndio kabisa watu huchanganyikiwa
Hongera mtunzi wa huu wimbo ila bado sijajua nini kinaufanya wimbo huu upendwe kias hiki