Juzi kati alihojiwa kuhusu hilo,akajibu,ilitakiwa iwe philemonia,ambalo ni jina la kike,ila wakati wa kuimba likaleta shida,ko walifupisha ili asitoke nje ya mpangilio.
mbona kwenye picha kaweka wanaume?kwanini asingesema hadija ?haya mambo yalikuwepo sana yangu miaka hiyoooJuzi kati alihojiwa kuhusu hilo,akajibu,ilitakiwa iwe philemonia,ambalo ni jina la kike,ila wakati wa kuimba likaleta shida,ko walifupisha ili asitoke nje ya mpangilio.
Hao ni watu ambao ni kweli wapoKwanini asingeweka jina lingine la kike linaloendana na hilo?