HUU WIMBO UNAITWAJE?????MSAAADA

Jerry santonga

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
644
553
Habari wakuuu aisee kuna nyimbo yaa hiphop soul ya stereo sijui inaitwaje ila amemshirikisha jamaa anaimba chorus kwa kiingereza hata jina la wimbo silijui ila mahadhi ni hiphop soul inafanana fanana na RAFIKI kwa anayeijua tafadhali anidondoshee hapa
nawasilisha wadau wa hiphop
 
Sio nyimbo, ni wimbo...
Haya rudia kuandika tena
 
Naona watoto wadogo, sasa wanaichezea fasihi, kwenye sanaa ktambo kama ukumbi wa ddc, toka club mambo na station ya tbc.

Listen when i say it now. Kama sijakosea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom