Huu wimbo una maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu wimbo una maana gani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Jan 21, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Kuna wimbo nausikiliza hapa, huwa naupenda sana ingawa sina hakika umeimbwa na nani na bendi ipi ya zamani. Sijui ni Mbaraka Mwishehe (Ndiye mwanamuziki wa zamani ninayemfahamu)

  Una maneno yanaimba

  "Mapenzi yananivunja mgongo ooh mie..
  Silali naumwa mgango.
  ooh ooh mie...

  Sijawahi kuelewa mwambaji alimaanisha nini... Mapenzi yanamvunja mgongo!!!!

  Kama kuna anayemwelewa naomba anijuze nami. Pengine wanamuziki wa zamani walikuwa wanatumia sana mafumbo...
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ina maana kila siku anafanya mapenzi, na hana nafasi ya kupumzika!...
  Zamani ilikuwa nguvu zako tu(za mwili si za pesa), hujiulizi saaana kama siku hizi!
   
Loading...