Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
- Thread starter
- #21
Watu wanajua kufukunyua???!!!!!
Nani huyo kafukunyua?
Watu wanajua kufukunyua???!!!!!
Basi ambao una quality ni hua wa Manu Dibango mkuu. Acheki youtube ziko zote
Nani huyo kafukunyua?
Huyo ni Mkongo lakini sio wa DRC, yeye anatokea Brazaville, aliuwawa baada ya kugeuka na kuwa mwana harakati aliyekuwa anapingana na serikali yakeNi mkongo baada ya kutoa wimbo huu aliuawa angalia YouTube video imeandikwa maneno kwa kingereza..!!Franklin le boucheron
Hapo lazima atakuwa mfukunyuzi.......