Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 323
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu