Huu wimbo mpya wa WCB ft Diamond quarantine wamekopi hapa??

Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu
Tumekusikia Sarah wa konde boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ya kwanza kuisikia karantini alivyoanza kuimba tu mi nikaropoka msela sio mchafu msela ni msafi ,Nashangaa anaimba vitu vingine mimi naiona kama Ngoma ya Msela ya Wateule
 
Mmetuchosha na nyinyi wa kuibiwa si mlinde Mali zenu kila siku mmeibiwa beat mtakuja muibiwe na vichwa kabisa...
 
Wakuuu nimeusikiliza wimbo wa wcb ft diamond platnumz unaitwa qurantine, naweza kusema ni kama hawa jamaa wameishiwa sana ukiangalia nyimbo zima wamekopi nigeria yaani hii video kila sehemu ni kopi kopi tu, pia naona kabisa hii nyimbo haitafikisha viewa millioni moja ikitokea naombeni mnipe adhabu yoyote hata ya kuchapwa fimbo adharanii, mbwembwe zote wanatuletea uchafu mtupu
Kaangalie you tube sasa una wimbo unaviewers wangapi, afu useme hizo bakora upigwe wapi
 
Back
Top Bottom