Hilo ni takataka tu limepeperukia karibu na mlango wako. Ukianza kufuatilia mambo kama hayo ndio kila kitu utaona umetegewa,na ukikaa akilini kila kitu utakuwa unatafuta tafsiri. Mimi hata ndoto tu naonaga ni ndoto tu wala sizitafutiagi maana. Endelea tu na maisha yako kawaida piga maombi
Nimeisoma Kwa makini hiyo karatas
Daaa! Kusema ukweli pole sana.
ila jitahidi kunywa maji ya kutosha kula matunda, Fanya mzoezi na acha kufatilia mambo yasiyo kuhusu utaepukana na huo mtego wao.