Nadhani kuangalia kama ni 'uzembe' wa wataalamu tu peke yao si sawa au haki...kama hospitali ni hiyo hiyo, kuna uwezekano mkubwa sana pia ikawa ni kwa sababu ya 'system' mbovu ya taasisi husika. Tafadhali rejea ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza upasuaji 'criss-cross' wa kichwa na mguu, iliainisha kulikuwa natatizo kubwa zaidi la kimfumo. uchunguzi ni muhimu kabla ya kunyoosha vidole!