comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,521
- 11,667
Ile pitch mbona mbovu Sana, kuna ujanjaujanja pale umetokea, uwanja kama shamba la mpunga.
Billion 30Bajeti ya ukarabati ilikuwa bilioni ngapi??
Mkuu unaelewa maana ya uwanja standard kwa ajili ya hii michuano?Mvua imenyesha kubwa. Tuache kulalamika
Hii nchi imeozaBillion 30
Hatari, nilikua namcheck abdul NONDO BBT nayo imeisha pesa shwaaaaHii nchi imeoza
Kila mtu anajipigia kwa upande wakeHatari, nilikua namcheck abdul NONDO BBT nayo imeisha pesa shwaaaa
Kwani yupo uwanjani?Mwamposa aliamua kuleta mvua..🤣