Wakati yeye mwenyewe ametamka muishi kama shetani. Anaitabilia nchi yake, watu wake wawe kama shetani, shetani anaongozwa?
Angalia sasa wimbi la ujambazi na mauaji, wizi na uharibifu unavyokithiri. Amewatamkia watu wake waishi kama shetani. Kazi ya shetani ni kuchinja, kuiba na kuharibu. Linganisha na uharifu wa unavykua kwa kasi!.
Hapana. Tutatembea kwa neno la Mungu lakini si kwa maneno ya Magufuli.