huu utalii we unaweza kufanya kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huu utalii we unaweza kufanya kweli?

Discussion in 'Jamii Photos' started by mchambuzixx, Jan 20, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  mmh kweli wa2 wanabip kifo asa hilo geti likifunguka

  312589_283853381653417_181683048537118_807302_514195340_n.jpg
   
 2. z

  zayat JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  humo ndani tumbo joto wengine wameshaji kojolea kwenye sarawili zao
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wamejichoka!!
   
 4. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Sio kujikojolea tu,wengine watakuwa wamejinyea.
   
 5. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  Duh! Hii ni zaidi ya hatari.
  Ila ni ubunifu kwa huyo mwenye hiyo kampuni ya utalii. Kampuni yake inafanya kitu ambacho sio makampuni mengi yanafanya. Hivyo kwa watalii mwenye kupenda more than adventure and leisure, hiyo ni nafasi yao kujiachia.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwenye kampuni tutamwita enovetor wa ukweli 7bu haijawahi kutokea kampuni yoyote kufanya kitu kama hiki
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  ha ha ha haaa!! Wamechoka kuishi hao. wanambip Mungu...!! We ngoja tu na Mungu huwa hakopeshi...atawapigia sasa hivi
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  JR KWA UTALIII WA NDANI INAWEZEKANA
   
 9. T

  TUMY JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hivi hapo imetokea la kutokea mara kakufuli kameachia si ndio mwanza wa kumsalimia kaka simba, ........kaka simba shikamoo...
   
 10. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,297
  Trophy Points: 280
  Picha hi inaccmuaa.Nimeipenda
   
 11. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  vp hapo tyre ya mbele ikapasuka bahati mbaya, nani atashuka kufungua tyre?
   
 12. driller

  driller JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  watu tunatest mambo ya hatari lakini jamani..! haya ile lock ya mlango pale ifyatuke.! hee ndipo utakapo jua maharage ni dawa ya tumbo au ni mboga
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Inaonesha hiyo ni open zoo, lakini jamaa ni mbunifu na anastahili sifa. Nyie kaeni tu na simba hapa, halafu mnalalamika fursa hakuna.
   
 14. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapo ni kutembelea rim
   
 15. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hao simba wote hawana meno nimeambiwa!
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  X factor hiyo
   
 17. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yaani ni vegetarians
   
Loading...