TAKUKURU wako wapi kuchunguza mwaliko huu, kwani baadhi ya wasanii wana T-shirts za kampeni. Je, kampeni zimeanza? Kule wabunge wanatoa vyerehani kwenye majimbo yao na kufuatiliwa na TAKUKURU, sasa huku JK anatoa misosi kwa wasanii, je sio sahihi kwa TAKUKURU kumshughulia huyu bwana?!!
Picha ya nne kwa nyuma pale anaonekana malaria sugu akiwa katika pozi
Picha ya nne kwa nyuma pale anaonekana malaria sugu akiwa katika pozi
JK ni Mtu wa Watu
Tatizo wanakariri kuwa ili uwe msanii mzuri lazima uwe na mi-rasta na kubugia unga. binafsi sioni wanachofundisha katika jamii yetu hii.Kuanzia mwonekano na hata jumbe za miziki yao (baadhi yao)Wengi hawa ni ugly guys have ever met.Wanatakiwa wanyoe nywele zao hizo,ni rasta chafu!
TAKUKURU iko wapi? Mbona mimi sioni kazi zake?