Huu ushuhuda ni upendo au kashfa?

Hahahaha dunia ina mambo bhna
 
Aliongea ukweli ila haikuwa mahali sahihi ilitakiwa tu atoe shukrani tu na kukaribisha watu home,asilaumiwe sana we differ labda alivyosimama mbele za watu akapata aibu akajiona labda hawamech akajikuta anaropoka ili ajifunike kmb alimsikiliza Roho ingawaje huyo mtu c sahihi kwake,roho ya kiburi inamtesa so anahitaji maombi.
 
Kweli hakufanya vzr, mambo ya kazi na elimu yanakujaje mbele ya kadamnasi, si walikuwa wameshayaongea uko na huyo roho mtakatifu iweje tena aje aropoke mbele za watu. kifupi mke hana hekima
Ni kashfa. Hakuwa na sababu ya kuyaeleza hayo.
 
ushuhuda jamani? kweli kuna miujiza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…