Huu ushirikina huu...!

Ipo updated version

πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Kulikoni Kiongozi?

Jando na Unyago?
Haya mambo magumu sana.
Walimzmdhulumu mtu mazao yake baada ya kumkodishia shamba,wakaja kumruka kuwa hawakumkodishia.
Jamaa naona kawazidi maarifa upande mwingine,hapo wanahenyeka hawajui chochote.
 
Haya mambo magumu sana.
Walimzmdhulumu mtu mazao yake baada ya kumkodishia shamba,wakaja kumruka kuwa hawakumkodishia.
Jamaa naona kawazidi maarifa upande mwingine,hapo wanahenyeka hawajui chochote.
Shukran Kiongozi.

Kuna watu hii Sayansi yako wanaiweza sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…