huu ushenzi wa reserves ni balaa

mseza

Member
Mar 14, 2016
92
39
leo nmekumbuka kitu nakumbuka mwaka jana mwezi 3 nmb walitupigisha interview pale morogoro ila majibu eti tuko reserves hahaha leo nmekumbuka hadi nikacheka maana rafiki yangu mmoja alijipa matumaini ya kuitwa soon ila mpaka leo hola
 
Unaweza kuwekwa reserve zaid ya mwaka ukatafutwa..kuna branches zinafunguliwa na nyingine zipo kwenya plan,..wengine wanaacha kazi na wengine wanakufa..so ikitokea uhitaji wanarudi kwenye data bank yao na kukutafuta kukuulizia availability yako...kazi ni ngumu mdogo wangu..kuwekwa reserves tu jichukulie kama umeshinda mtihani
 
asante mkuu
dah kaka ajira nchi hii imekuwa shida sana, ngoja niendelee kuvua Mungu akipenda wataita japo sometime tunakata tamaa
 
Back
Top Bottom