Huu upweke huu

Eiyer ujue maisha mafupi haya ohoo!
 
Last edited by a moderator:
na ukijijaza stress ndo kabisaaaaa

Na nyakati hizi hali ngumu kweli hasa kwa sisi machinga yaani stress kibaoo .....!!!!!!!!!!!
 
Na nyakati hizi hali ngumu kweli hasa kwa sisi machinga yaani stress kibaoo .....!!!!!!!!!!!
unachapa mguu toka k/koo hadi kibamba na kurudi na hupati hata wa kukuuliza bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…