Haya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
Usimlaumu sana kaka, shule ndogo ndio tatizo hawezi kuelewa hiyo falsafa rahisi. Sasa kama hawezi kuelewa jambo rahisi namna hiyo ataelewa mambo makubwa?"Its either with them or against them".. mbona logic rahisi tu hapo boss? haihutaji kupewa pesa uelewe vitu kidogo kama hicho.
uchu wa madaraka tu, sijui ikulu kuna nini. sana sana ataiba ili alipe fadhila kwa matajiri. Watanzania tuamke, kamwe amaetumia mbinu na nguvu nyingi kuingia ikulu ni wa kuogopwa kama ukoma
Mkuu doctor bado hajaleta dawa weweHaya maneno anayaongea na kuwa attack CCM chama ambacho kimemlea mpaka hapa alipo ni unafiki mkubwa.
Najiuliza angepitishwa DODOMA maneno haya angeyaongea wapi.?
Mbele za watu SLAA anaonekana ana uchungu wa kweli kuliko yeye, anayetaka tu lipiza kisasi na kuwakomoa CCM.
CCM na serikali kwa ujumla haiendeshwe na mtu mmoja, ni taasisiNyie mnatumia nguvu kidogo!? Sema kwishney!