Hihihihi!Magari 40 au 50? Isije ikawa uliona treni tu 😀😀
MahondaaaawNdoivo hajawahi love
Watanyoosha maelezo sasa hivi subiri tuKibiti wamenyanyua mikono, imebaki mikwara ya mjini tu.
Kibiti wamenyanyua mikono, imebaki mikwara ya mjini tu.
Niloziona gari zilikua nane si arobaini chumvi uliyo ongeza ni kiboko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Hayo huku kwetu Mkuranga na Kibiti tumeyazoea wala sio story ya kushangaza.
Duuuhhadi hao waliovaa mabaka mabaka walikuwepo pia na silaha zilishikwa hivyo hivyo asubuhi ya leo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Niloziona gari zilikua nane si arobaini chumvi uliyo ongeza ni kiboko.
Kaweka chumvi ya kutosha.Niloziona gari zilikua nane si arobaini chumvi uliyo ongeza ni kiboko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee ulikuwepo. Mie nimeona na macho yangu
Hahaha! atakuwa ameona treni kabisaMagari 40 au 50? Isije ikawa uliona treni tu 😀😀
Great thinkerKibiti wamenyanyua mikono, imebaki mikwara ya mjini tu.