Huu ujumbe WhatsApp humaanisha nini?

Asante sana,
Ndio niliweka saver on na hiyo optimazation nimeshabadilisha imekubali,
Shukran sana mkuu
 
Unafikiri hadi nascreenshot, naedit na kupost hapa sikuyaona hayo maandishi?
Narudia tena jifunze kujali wengine hasa usiokuwa na taarifa zao vya kutosha.
Ungesoma ukapuuza na kuendelea na shughuli zako ingekuwa vema zaidi.
Mkuu umepanick bila hata sababu, kwanza punguza hasira zisizo na msingi ili uelewe.
Sasa mi ningejuaje kua umeifungua hiyo link bila kuniambia??
Vipi kama hujui kingereza ndio maana hukuelewa ndo unataka kueleweshwa!!!
Au ni vipi kama hujaelewa kilichomo kwenye link!!??
Ama lah vipi kama hujui kua hiyo ni link??
Punguza hasira kijana, kua na furaha utaishi mda mrefu. Usicomplicate maisha mzebaba ndio haya haya๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Yote kwa yote samahani kama nimekukwaza mkuu.
 
Wakati mwingine uwe unajielekeza kwenye mada husika direct, mambo ya kuua nzi kwa nyundo achana nayo.
Kwani hao wadau waliojielekeza kwenye swali na kujibu moja kwa moja wamepungukiwa nini?
Learn to save the time.
 
Wakati mwingine uwe unajielekeza kwenye mada husika direct, mambo ya kuua nzi kwa nyundo achana nayo.
Kwani hao wadau waliojielekeza kwenye swali na kujibu moja kwa moja wamepungukiwa nini?
Learn to save the time.
We kijana bado umekasirika tu.
Ningependa kujua jinsia yako ni ke/me, yani umeombwa msamaha kwa kosa lisilokuepo ili upoe bado unalalama tu.

Na hapo juu sio wote wamekupa majibu sawa, na mimi ni mmoja wa majibu tofauti na wengine. Kila jibu ni jinsi tu wewe umelipokeaje angalia iyo reply yangu kuna waliolike means wameielewa.
Au unataka kurefusha uzi tu mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kua muwazi tu ..
 
Mkuu nakuelewesha afu mzito, waliolike ni wajjnga wenzako. Ebu angalia vizuri hiyo comment yako. Ulisema niache uvivu, hiyo ni conclusive statement. Kwamba ulishajiridhisha kuwa sikuwa nimefungua hayo maelezo. Afu unaniita kijana unatambua umri wangu wewe? Tambua makosa yako tafadhali kisha ujifunze.
 
Yaani wewe umepanick bila sababu za msingi. Sioni cha kukasirika kwenye iyo comment.
Na nilishayamaliza hayo kitambo sana bado umenikomalia we jamaa vipi aisee. Na ndio wewe ni kijana.
Sina makosa.
Na wewe ni mvivu.
Na mwisho kabisa we kijana ni mjinga, hujui maana ya msamaha.
 
Una vijibu vyenye karaha ndani yake akiishakuambia jinsia yake nn kitafuata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ