Shukuru hata nimekuja kucoment uboya wako hapa,angalau umepata msg mbili.ela ndiyo nini ewe mtoka pabaya?
Jifunze kuandika kwanza.
Unaakili sana!Unakuta mwanaume mzima analia mtandaoni kisa Magufuli kafanya maendeleo ya vitu na sio ya watu.
mimi leo hata nikilala njaa au kukosa mavazi siwezi kuilaumu serikali maana najua hayo ni matunda ya uzembe wangu wa akili na mwili.
NAUNGA MKONO HOJA.
Mmekazania tufanye tufanye kazi utafikiri awamu zilizopita maccm mlikuwa mnatugaia viroba vya unga majumbani mwetu.Sasa ulitaka kila leo iwe leo?Fanya kazi bwana mdogo kwa bidii.
Usiombe yakukute,Msiba usikie kwa mwenzako ukikufika, utaambiwa maneno ya faraja sawa na uliyokuwa unawafiriji wenzako na hutaona faraja.
Hata Nape, Kitwanga, Mwigulu(msimuombee Lissu Leo yet anataka aombewe), the list is long.
Point yangu, kule kwetu wanasema tema mate chini. Usilolijua Ni kiza nene, subiri yakukute.
Wakati unayaandika haya uwakumbuke na ndugu zako pia wenye shida kama zoteKwa kipindi kirefu wajinga wachache wamekuwa wakituaminisha eti hali ni mbaya kwa kila kitu.Ujinga!
Hivi unatarajia Magufuli aje akuwekee pesa mfukoni?
Hivi Magufuli akufundishe kufanya kazi kwa bidii ili ujipatie kipato?
Hivi Magufuli aje kwako/shambani akufundishe namna ya kulima?
Hivi Magufuli aje kijiweni akukumbushe kukaa kijiweni na kuzurula hovyo hakutakupa kipato?
Ujinga kabisa!
Na mimi nasema mtu mzembe na si afe na tu njaa bali pia akaozee hata jela.Ujinga huo wa enyi wajinga kuzurula pasi na kufanya kazi na mfe kabisa!
Ikumbukwe asiye fanya kazi na asile.