Huu ujinga wa wajinga wachache na ukome sasa!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Kwa kipindi kirefu wajinga wachache wamekuwa wakituaminisha eti hali ni mbaya kwa kila kitu.Ujinga!

Hivi unatarajia Magufuli aje akuwekee pesa mfukoni?

Hivi Magufuli akufundishe kufanya kazi kwa bidii ili ujipatie kipato?

Hivi Magufuli aje kwako/shambani akufundishe namna ya kulima?

Hivi Magufuli aje kijiweni akukumbushe kukaa kijiweni na kuzurula hovyo hakutakupa kipato?

Ujinga kabisa!

Na mimi nasema mtu mzembe na si afe na tu njaa bali pia akaozee hata jela.Ujinga huo wa enyi wajinga kuzurula pasi na kufanya kazi na mfe kabisa!

Ikumbukwe asiye fanya kazi na asile.
 
Sir Khan

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
5,123
2,000
Unakuta mwanaume mzima analia mtandaoni kisa Magufuli kafanya maendeleo ya vitu na sio ya watu.
mimi leo hata nikilala njaa au kukosa mavazi siwezi kuilaumu serikali maana najua hayo ni matunda ya uzembe wangu wa akili na mwili.
NAUNGA MKONO HOJA.
 
Unaakili sana!
 
alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,034
2,000
Sio watu hawafanyi kazi isipokuwa wanapoongelea hali ni mbaya ni kuwa shilingi elfu tano ya Leo ni tofauti na shilingi elfu tano ya miaka 3 iliyopita kimatumizi.
Sasa ulitaka kila leo iwe leo?Fanya kazi bwana mdogo kwa bidii.
 
prs

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
2,644
2,000
Kazi gani unaongelea hapa!! kuna wakulima ambao kazi yao ni Kilimo Wanazungushwa malipo yao ya Korosho..
Wafanyabiashara wanapigwa kodi zisizoeleweka (hapa hata Makonda ambaye si mfanyabiashara yalimkuta)
Watu hawapandishwi madaraja na Mishahara..
Wewe unazungumzia ndege!!!
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,355
2,000
Msiba usikie kwa mwenzako ukikufika, utaambiwa maneno ya faraja sawa na uliyokuwa unawafiriji wenzako na hutaona faraja.

Hata Nape, Kitwanga, Mwigulu(msimuombee Lissu Leo yet anataka aombewe), the list is long.

Point yangu, kule kwetu wanasema tema mate chini. Usilolijua Ni kiza nene, subiri yakukute.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
152,520
2,000
Kwa kipindi kirefu wajinga wachache wamekuwa wakituaminisha eti hali ni mbaya kwa kila kitu.Ujinga!

Hivi unatarajia Magufuli aje akuwekee pesa mfukoni?

Hivi Magufuli akufundishe kufanya kazi kwa bidii ili ujipatie kipato?

Hivi Magufuli aje kwako/shambani akufundishe namna ya kulima?

Hivi Magufuli aje kijiweni akukumbushe kukaa kijiweni na kuzurula hovyo hakutakupa kipato?

Ujinga kabisa!

Na mimi nasema mtu mzembe na si afe na tu njaa bali pia akaozee hata jela.Ujinga huo wa enyi wajinga kuzurula pasi na kufanya kazi na mfe kabisa!

Ikumbukwe asiye fanya kazi na asile.
Wakati unayaandika haya uwakumbuke na ndugu zako pia wenye shida kama zote

Jr
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom