Huu ujauzito, nimeukataa rasmi

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Habarini wana jamvi.natumai mu wazima kabisa.

Siku za nyuma kidogo nilileta Uzi humu kuhusu kutoelewa ujauzito alioupata mpenzi wangu .Na hii ni kutokubaliana na maelezo yake ambayo yanakinzana na ukweli kidizaini flani .

Kiukweli naona nabambikiwa bao la mwanaume mwenzangu kabisah. Sasa maamuzi niliyochukua ni kukataa rasmi kujihusisha na huo ujauzito wake japo messages zake za kunilaani zimezidi.

Ila naamini hazitonifika hapa (shingoni), sitonyoosha mikono juu, sitorudi nyuma.

Kwko dear ex

Wako mtiifu uliyetaka kum bambikia mtoto.

NB: Shida siyo hali ngumu, shida ni kulea bao la mwenzio.
 
Unaweza elezea mazingira aliyopata huo ujauzito katika mkutadha huu:
1. Mzunguko wake wa hedhi, (siku ngapi)
2. Most fertile day kwake,
3. Siku uliyomla kimasihara,
4. Sababu za kuukataa ujauzito
 
Unaweza elezea mazingira aliyopata huo ujauzito katika mkutadha huu:
1. Mzunguko wake wa hedhi, (siku ngapi)
2. Most fertile day kwake,
3. Siku uliyomla kimasihara,
4. Sababu za kuukataa ujauzito
Sababu simuamini, kun Uzi utafute upo humu ," kipimo ch upt kinaonyesha baada y muda gani" utanielew mkuu
 
Umejilizisha? Umehakiki scientifically kwanini hukuenda kucheki ultra sound ukajua siku gani alishika ujauzito halafu sasa mcheki na siku mlioshiriki kuliko kukurupuka kwa akili za kuambiwa,
 
Angalia sana maamuzi yako mkuu.

Maelezo kujichanganya kwa wanawake ni kawaida sana. Hata yeye haelewi vizuri hayo mambo especially akiwa prime.

Kama kaka yako NAKUONYA BE VERY CAREFUL NA AAMUZI YAKO. Usione sifa saa hizi kujifanya kidume kukataa mimba, huwa kuna concequencies kibao mkuu kwenye kukataa mimba
 
Sababu simuamini, kun Uzi utafute upo humu ," kipimo ch upt kinaonyesha baada y muda gani" utanielew mkuu
mkuu uko serious kweli mwamba? Yaani mtu anataka kukushauri aanze tena kuhangaika kutafuta uzi. Shida ni yako kumbuka si yake. We mweleze kwa ufupi tu atakushauri. Si unawajua wabongo na uvivu wetu?
 
Angalia sana maamuzi yako mkuu.

Maelezo kujichanganya kwa wanawake ni kawaida sana. Hata yeye haelewi vizuri hayo mambo especially akiwa prime.

Kama kaka yako NAKUONYA BE VERY CAREFUL NBA AAMUZI YAKO. Usione sifa saa hizi kujifanya kidume kukataa mimba, huwa kuna concequencies kibao mkuu kwenye kukataa mimba
Nakuunga mkono, umeongea kwa hekima na busara sana. Kuna maamuzi ya kitoto na kujifanya mjanja ila mwisho wake huwa unatesa na kuumiza sana na kwa wakati huo unakua huna nafasi ya kurudisha muda nyuma na kuyarekebisha. Kila mtu anafanya kosa au makosa kwa wakati na nyakati tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom