Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,256
- 1,815
mbna huu uzi hauna lik hata moja,ina maana wana jf hatuna hata mb?
2083 ndio mwaka gan aisee?
mbna huu uzi hauna lik hata moja,ina maana wana jf hatuna hata mb?
😂ikoje mkuu hyo,kwa manufaa ya swahili audience😂wanatumia freebasics
😂😂😂😂😂 huwez mchek mkuu ili tusitoke kapa kabisa?😂hata mi mwenyewe siijui nliambiwaga tu na kaka wa jamaa wajiran yangu.😂😂
🤣 Nikimpata ntawaambia😂😂😂😂😂 huwez mchek mkuu ili tusitoke kapa kabisa?😂
Nmecheka sana mpaka wife kashituka ucngzn nae kacheka
Wa pale Lumumba mkuu2083 ndio mwaka gan aisee?
Hahhahs hata kiswahili chakr anaonesha kwamba hafiti sehemu husika aliyokuwepo.Wa pale Lumumba mkuu
Noma sanaHahhahs hata kiswahili chakr anaonesha kwamba hafiti sehemu husika aliyokuwepo.
Myu anaefiti sehemu lazima akiongea awe fasaha katika sehemu hiyo
Kamwele Anajua Vizuri, Nadhani Kafika Huo Mwaka2083 ndio mwaka gan aisee?
AhahahaKamwele Anajua Vizuri, Nadhani Kafika Huo Mwaka
Jamaa ametaka kiki tu ila alijua anachokisemaKuendelea kuwapa kandarasi wazee waliojichokea mpk wanatamka 2083 kabla ya kristo ni ufisadi na uhujumu uchumi wa aina yake!
Halaf wale waandishi kama hawakushtuka vile. Dah!!!2083 ndio mwaka gan aisee?